PAA

Tumerahisisha mahesabu

Paa ni mfumo rahisi na wa bei nafuu kwa uhasibu na utunzaji taarifa za kifedha

intro
svg

Faida za Paa

Paa ni rahisi kutumia kwa ajili ya mahitaji yako kihasibu na taarifa za kifedha. Pia utaitumia kwa lugha ya kawaida

  • Rahisi Kutumia
  • Watumiaji wengi
  • Ripoti za kihasibu
  • Pokea repoti kwa njia ya SMS na Barua Pepe
  • Bajeti na Mipango ya kifedha
  • Unganishwa na mtaalamu wa Kodi
  • Fanyia Kazi popote

  • Pata mwezi mmoja bure
  • Mafundisho ni Bure
  • Chagua Kirushi cha Malipo
  • Lugha ya Kawaida
  • Inakusaidia na nyaraka kwa ajili ya Kodi
  • inaendana na mfumokazi wako
  • Malipo ya Wafanyakazi

100%

Inabadilishwa Upendavyo

Tunaweza kuibadilisha kwa ajili ya mfumokazi wako

Rahisi kutumia

Lugha ya kawaida

Tumia lugha ya kawaida kabisa

Mfumo Mmoja - Watumiaji Wengi - Unabadilishwa upendavyo

Unahitaji kutumia mfumo wako popote kwa njia isiyohatarishi kwa taarifa ulizozitunza?! PAA inakuwezesha

Haraka svg

Huduma haraka zaidi

Inapatikana popote, muda wowote

Huduma svg

Huduma ya hali ya juu

Huduma yetu kwa wateja itakuacha na tabasamu

Timu svg

Inawezesha timu ya watu wengi

Huwezesha watu wengi kufanya kazi muda wowote

svg svg
about
about
svg

Tunaondoa ugumu katika mahesabu ya kila siku

Tunafanya hivi katika njia nyepesi kabisa lakini kwa umakini na uhakika na utuzanji wa hali ya juu ta taarifa za mahesabu yako

  • Rahisi - haihitaji utaalamu
  • Haraka - unapata matokeo haraka sana
  • Uhakika - Inatunza taarifa zako kwa uhakika na umakini
  • Timu - Inaweza kutumika na timu kubwa
  • Inabadilishwa Upendavyo

“Urahisi ndio moyo wa ubora.” Austin Freeman

Tuamini tukupe urahisi na tabasamu katika utuzanji taarifa za mahesabu

svg
svg