Yaliyomo

Faida utakazopata

Mafunzo bure

Tunatoa mafunzo bure 100%

Raisi Kutumia

mfumo wa Paa umetegenezwa kitaalamu na muonekano mzuri ili uweze kuutimia kwa wepesi zaidi

Watumiaji wengi

Unaruhusu watu wengi kuutmia kwa wakati mmoja bila vikwazo

Misingi ya Uhasibu

vitu vya msingi kuhusu uhasibu na utunzaji mahesabu vimezingatiwa

Ripoti

Utatumiwa Ripoti kwa njia ya SMS na barua pepe upate kujua maendeleo ya taasisi

Huduma kwa wateja

Hatukuachi gizani, tunatembea na wewe kila siku na kila unapotuhitaji

Muonekano mzuri

muonekano utakaopenda

Rahisi Kujifunza

huauhitaji kutumia nguvu nyingi kujifunza

Rahisi Kutumia

Kila mtu akidhamiria anautumia